Gari la Mkopo na Vigezo

Je, una ndoto ya kununua gari lako mwenyewe lakini huna fedha taslimu zote? Usijali! Tunatoa suluhisho mbalimbali za mkopo ili kukuwezesha kumiliki gari unalotaka.

Tunatoa aina mbili kuu za mikopo:

  1. Kupitia Benki: Riba ni kati ya 18% na 23% kwa mwaka.
  2. Kupitia Washirika Wetu: Riba ya 3.5% kwa mwezi.

    Kama mteja utahitajika kuwa na kiazio cha asilimia 20% hadi 40% ya gharama ya gari, kulingana na benki husika.

Muhimu kujua ni kwamba zote hizi tutapiga hesabu kupitia reducing balance na gari litakua linamilikiwa na wewe na benki hadi umalize deni.

Mahitaji kwa Watu Walioajiriwa

Kama wewe umeajiriwa, haya ndiyo nyaraka utakazohitaji ili kupata mkopo:

  • Income statement ya miezi 6.
  • Kitambulisho cha NIDA.
  • Nakala ya mkataba wako wa kazi.
  • Kitambulisho cha mwajiri wako.
  • Salary slip ya miezi 3 iliyopita.
  • Barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa.
  • Nakala ya kitambulisho cha mtu wako wa karibu.

Mahitaji kwa Wafanyabiashara

Kama una biashara yako, hapa kuna nyaraka utakazohitaji ili kuomba mkopo:

  • Leseni ya biashara.
  • Hati ya usajili wa BRELA.
  • Cheti cha TIN.
  • Barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa.
  • Nakala ya kitambulisho cha mtu wako wa karibu.
  • Taarifa za benki (bank statement) ya miezi 6.
  • Kitambulisho cha NIDA.

Hizi ni habari muhimu na rahisi ili kukuwezesha kufikia ndoto yako ya kumiliki gari. Ikiwa una maswali zaidi au ungependa kuanza mchakato wa mkopo, tafadhali wasiliana nasi kupitia Whatsapp au kawaida – 0675123868.

Tutafurahi kukusaidia katika kila hatua.